JAMII INAKUSAIDIA KUJIPANGA NA GHARAMA ZA MATATIZO YAKO YA AFYA USIPOTEGEMEA


KUHUSU SISIWASILIANA NASI

KUHUSU SISI

Jamii inaamini zaidi katika nguvu ya teknolojia na wenye ndoto ya kuboresha maisha ya waAfrika kupitia ujumiisho wa teknolojia.

Teknolojia inabeba umuhimu mkubwa sana wa kutatua matatizo mengi ya uendeshaji na changamoto za biashara, kupitia huduma bunifu za kidigitali zilizotengenezwa mahususi kwa mahitaji ya mtumiaji.

Kama taasisi za serikali, mfanyabiashara au mtoa huduma au hata mtu binafsi ana uwezo wa kujijengea ushindani mkubwa kwenye soko la dunia.

Kupitia ubunifu wa hali ya juu na teknolojia, tumepania kuboresha maisha ya waafrika kwa kuwatengenezea bidhaa na huduma za bei nafuu na zinazipatokana kwa njia za kidigitali.

TUNAWEZA KUKUSAIDIA VIPI?

Jamii ni bima ya afya kwa watu wa maisha ya chini inayopatikana kwa njia ya simu.

Tuna aina nane za bima unazoweza kuchagua kulingana na idadi ya watu waliopo katika familia yako.

AINA ZA BIMA YA JAMII

Miezi mitatu

 • Idadi ya wanafamilia
 • Binafsi
 • Familia ya watu 2
 • Familia ya watu 3
 • Familia ya watu 4
 • Bei ya bima
 • 7,000tsh
 • 13,000tsh
 • 17,000tsh
 • 21,000tsh
 • Manufaa kwa kila mwanafamilia
 • 65,000tsh
 • 65,000tsh
 • 65,000tsh
 • 65,000tsh

Miezi Sita

 • Idadi ya wanafamilia
 • Binafsi
 • Familia ya watu 2
 • Familia ya watu 3
 • Familia ya watu 4
 • Bei ya bima
 • 23,000tsh
 • 41,000tsh
 • 54,000tsh
 • 66,000tsh
 • Manufaa kwa kila mwanafamilia
 • 115,000tsh
 • 115,000tsh
 • 115,000tsh
 • 115,000tsh

JINSI YA KUJIUNGA

Piga *150*57#, ingiza taarifa zako binafsi kama utakavyo ulizwa

Chagua aina ya bima unayohitaji

Lipia bima hiyo kupitia M-Pesa kwa kuhakiki bei ya bima na kuingiza namba yako ya siri ya M-Pesa

Utapokea namba yako ya utambulisho ya Jamii ambayo utatumia kupata huduma za bure hosipitalini.

KUTUMIA MANUFAA YAKO HOSIPITALINI

Beba kitambulisho chako chochote chenye kufanana na taarifa ulizojaza Jamii,,

Mpatie mtoa huduma hosipitalini namba ya ya Jamii.

Ikiwa umesahau namba yako ya utambulisho ya Jamii, piga *150*57# kisha chagua namba 3 kwa taarifa zako. Kitambulisho chako kinaweza kua barua ya mwenyekiti wa mtaa, kitambulisho cha mpiga kura, kitambulisho cha kazi n.k

Utapewa huduma za hosipitali kulingana na kimo cha manufaa ya bima yako.

HOSIPITALI ZETU

Arusha
Ithna Asheri Community Hospital
Selian Lutheran Hospital
St.Thomas Hospital
Mt.Meru Regional Referral Hospital
Old Arusha Dispensary
Arusha Medical Centre
Mother Care Clinic
Toto Care Health Services
Marie Stopes Arumeru Hospital
Marie Stopes Mererani Centre
Marie Stopes Monduli Centre
Maries Stopes Arumeru Centre
Dar es Salaam
Muhimbili National Hospital
Mikumi Hospital
Arafa Charitable Health Center
Marie Stopes Dar Hospital
MOI
Datoo Medical Clinic
Alexia Medical LTD
Dr Ramaiya Dispensary
GE Dispensary
Marie Stopes Dar Centre
Marie Stopes Kimara Centre
Marie Stopes Mabibo Centre
Marie Stopes Mwenge Hospital
Marie Stopes Temeke Centre
Rehmtullah Dispensary
Sisa Community Health Centre
Kunduchi Beach Health Services
Tayma Dispensary (Sabrina)
Furaha Medical (Dr Massawe)
Somedics Polyclinic
Sokoni Dispensary and Diagnostic
PK Kibaoni Dispensary
Moshi
KCMC
Kilimanjaro First Health Hospital
Moshi Upendo Health Centre
Shanty Town Hospital
Siima Charitable Dispensary
St Thomas Dispensary
Dodoma
Mirembe Hospital
Amani Health Center
Dodoma Regional Hospital
Dodoma Christian Medical Centre
Iringa
Marie Stopes Iringa Centre
New Mafinga Huruma Dispensary
Marie Stopes
Pisalala Dispensary
Iringa Regional Hospital
Kahama
Florida KMT Dispensary
Kabuhima Mennonite Dispensary
Bakwata Nyasubi B. Dispensary
Kwema Dispensary
Kagongwa Dispensary
Igalilimi Health Center
Marie Stopes Kahama Centre
Geita
Geita Hospital
Marie Stopes
Upendo Dispensary
Nyumbani Dispensary
Shinyanga
Dr Maeja Dispensary
KKKT Zahanati ya Usharika
Shinyanga RC Hospital
Majengo Dispensary-Bakwata Shinyanga
Shinyanga Regional Referral Hospital
Karatu

Maries Stopes Karatu Centre

Kigoma
Kigoma Mission Hospital
Upendo Foundation Health Center
Kigoma International Hospital
Maweni Hospital
Songea
Songea Regional Hospital
Mission Peramiho Hospital
St Camillius Hospital
Marie Stopes Makambako Hospital
Songea Private Dispensary
Lindi

Brigita Dispensary

Mbeya
Mbeya Referral Hospital
Uyole Hospital
Mbalizi DDH
K’s Hospital
Maries Stopes Mbeya Centre
Mbeya Surgical
Makendza Clinic
Morogoro
St. Harry Hospital
Shalom Medical Centre
Ahmadiyya Medical Center
St. Francis
Rukwa
AMEC Healthcare Dispensary
St Theresa
Rulenge
Christ The King Hospital
Murgwanza Hospital
Musoma
Nyerere DDH – Mugumu
Marie Stopes Musoma Centre
Omega Medical Services
Mtwara
Ligula Hospital
Fajma Dispensary
Sajola Dispensary
Huruma Dispensary
Shangani Dispensary (Ndanda Ndogo)
Bursa Clinic
Dr Mwambe Health Centre
Bukoba
ST Therese Bukoba Health Centre
Ndolage Hospital
Hamugembe Karibu Dispensary
Mwanza
Bugando Medical Centre
Mwanza Women Clinic
Aga Khan Health Centre Mwanza
Amani Chogo Dispensary
Huduma Medicare
Marie Stopes Mwanza Hospital
Tarime Foundation (Hurumia Watoto Dispensary)
Kiloleli Juu Health Centre

WASILIANA NASI

EdgePoint Digital Ltd

Plot 11 Ada Estate

Dar es Salaam

Email: info@jamiiafrica.com

Tel: +255 222 664 851

Watch Dragon ball super